iqna

IQNA

bunge la Iran
Kiongozi Muadhamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amasema sheria ya kistratijia iliyopitishwa na Bunge la Iran mwaka 2020 ili kukabiliana na vikwazo iliiokoa nchi kutokana na "kuchanganyikiwa katika suala la nyuklia".
Habari ID: 3477038    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/24

Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, tarehe 16 mwezi wa Azar, (Disemba 7) ni nembo ya kupigania ukombozi na mapambano dhidi ya uistikbari.
Habari ID: 3476210    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/07

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa siri ya ushindi wa nchi hii katika sekta mbalimbali ni kuwepo umoja baina ya Masuni na Mashia na kusisitiza kuwa, Waislamu wa Kisuni na pia wa Kishia waliifanya Iran kuwa imara zaidi na yenye nguvu wakati wa kujihami kutakatifu na katika matukio ya ndani kupitia umoja na dhamira yao thabiti.
Habari ID: 3475904    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/09

Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema haki za taifa la Iran zitarejeshwa tu iwapo kutafikiwa mapatano maziri na adilifu ambayo yatapalekea vikwazo kuondolewa.
Habari ID: 3474625    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/01

TEHRAN (IQNA)- Sekretarieti ya Kudumu ya Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina Katika Bunge la Iran imelaani vikali hatua ya serikali ya Uingereza ya kuiweka Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS katika orodha ya makundi ya kigaidi.
Habari ID: 3474583    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/20